Tuesday 30 April 2013

MALKIA BEATRIX WA UHOLANZI ANG´ATUKA MADARAKANI




Malkia Beatrix wa Uholanzi akikabidhiwa hati ambayo baada ya kuisaini itakuwa ndiyo mwisho wa madaraka yake kama Malkia.Haya yalifanyika katika ukumbi wa Mozeszaal (Mozes) uliopo katika jumba la kifalme jijini Amsterdam asubuhi ya leo tarehe 30 aprili 2013


Mfalme aliyetawazwa Willem-Alexander wa Uholanzi akimbusu mama yake Princess Beatrix aliyesimama katikati, huku Malkia Maxima kushoto, akiangalia.

Mfalme wa Uholanzi  aliyetawazwa Willem -Alexander, Malkia Maxima kulia na Princess Beatrix

Mfalme  aliyetawazwa Willem-Alexander anakuwa ndiye mfalme wa kwanza  wa Uholanzi katika kipindi cha miaka 123!


Habari kwa hisani ya CBS News



Pichani ni Malkia Beatrix wa Uholanzi akiwa na rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma Kikwete walipotembelea nchini Uholanzi mapema mwaka huu








No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...