Monday 29 April 2013

NINI CHIMBUKO LA AGUKO LA ELIMU TANZANIA?


Watoto wakiwa wamekalia ndoo


Watoto wakiwa wamebanana na wengine hawana meza ya kuandikia


Hapa sijui ni shule nzima au darasa moja


Moja ya shule katika bonde la Ngorongoro


Kunapokuwa na tatizo au mapungufu lazima kuna sababu iliyopelekea kuwepo tatizo hilo.Tatizo haliwezi kwisha bila kutibu/kurekebisha chanzo cha tatizo.

Je,nini kimechangia la anguko la elimu Tanzania?Je,sababu zinaweza kuwa:
Ubadilishwaji wa mitaala mara kwa mara
Ubadilishwaji wa vitabu bila kufuata utaratibu
Mrundikano wa watoto darasani
Ukosefu wa madawati
Majengo duni
Maslahi duni ya walimu
Wadau mnaweza kuchangia ili kusaidia uboreshaji wa elimu yetu.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...