Saturday 27 April 2013

SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA



Ndege za jeshi zikifanya manjonjo katika sherehe za miaka 49 ya muungano.Ndege hizi zilitoa moshi wenye rangi ya bendera ya taifa
 
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru  katika sherehe za kuadhimisha miaka 49


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...