Katika hali isiyo ya kawaida leo hii mapema Bungeni Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani imesitishwa baada ya hotuba hiyo kuwataja chama cha CUF kwamba wanamahusiano na chama kinachosapoti Usagaji pamoja na Ushoga hivo nao kuwahusisha katika mambo hayo.
CHANZO: King Jofa
No comments:
Post a Comment