Tuesday 14 May 2013

Mfalme Mswati wa Swaziland-Mfalme mwenye wake wengi


Vigori wakiwa katika sherehe ambayo mfalme wao Mswati III huchagua mke.Sherehe hiyo hujulikana kama

"  Umhlanga"


Hapa vigori wakingoja kuchaguliwa

Mfalme Mswati akipita mbele ya vigori kuchagua mke





Mfalme Mswati na mmoja wa wake zake katika safari ya nje ya nchi







Picha juu zinaonyesha baadhi ya wake wa mfalme Mswati

Mfalme Mswati katika vazi la asili



Mfalme Mswati katika vazi la nchi za magharibi(suti)
 Inadaiwa kuwa Mfalme Mswati anawake 14 na watoto takribani 23.Mfalme Mswati huoa mke moja kila mwaka kama inavyotaka mila zao.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...