Wednesday, 29 May 2013

MSANII WA BONGO MOVIE- DUDE AFIWA NA MAMA YAKE

x


Msanii wa bongomovie Kulwa Kikumbe maarufu kama Dude, leo hii amefiwa na mama yake mzazi. Habari nyingine zitakujia hapahapa, tunampa pole Dude na familia yake kwa ujumla. Haya ni maneno ya Dude baada ya mama yake kufariki.

Nashkuru kwa woote walionifariji na kunipa pole kwa kufiwa na mamaangu mzazi, ukweli ni siku ngumu sana kwangu maishani, ukiacha kifo cha baba mamaangu kaniuma zaidi, kwanza roho yake imemalizikia nikiwa nimempakata kwenye gari, MUNGU ANIPE NGUVU na amlaze peponi mtu niliyempenda kuliko wote hapa ulimwenguni,muombeeni duwa mamaangu picha yake hiyo.


Rainbow-tz inatoa pole kwa Dude.R.I.P mama Dude.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...