Sunday 12 May 2013

UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NINI SULUHISHO LAKE?


Mwimbaji wa taarab Salha Abdallah akiwa na majeraha aliyoyapata baada ya kipigo kutoka kwa mumewe mwimbaji wa kundi la Offside trick, Hammer Q




Huyu ndiye mume wa Salha Hammer Q


Mdau,picha zinajieleza.Je,ni nini kifanyike kukomesha ukatili kwa wanawake?Jamaa kampiga mkewe na kumuumiza hivi eti kisa ni wivu.Hivi hakuwa na njia nyingine ya kusuluhisha tatizo mpaka kumfanya mwenzie hivi?Sheria zinasemaje wadau juu ya ukatili kama huu?Cha kusikitisha ni kwamba binti ameamua kurudi kwa mumewe.Sijui kesho jamaa atafanyia ukatili gani mwingine mkewe kama pamoja na kumuumiza hivi hajachukuliwa hatua yeyote na mke kaamua kurudi kwa jamaa huyu.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...