Sunday 12 May 2013

WEMA SEPETU ANASAFIRI KAMA PRESIDENT…



Wema Sepetu sasa hivi not just a boss, but like a president wa Empire yake ya Endless Fame filims. Akiwa kwenye safari ya kuelekea Dodoma kwenye party ya uzinduzi wa msumu mpya wa Clouds FM Twenzetu na crew yake ya Endless Fame na watu kama PetitMan,TIntyDaddy na Kajala, kwenye gari ambalo yeye yupo ndani yake lilikuwa linapepea kibendelea cha logo ya kampuni yake Endless Fame.
Wema ambaye alitupia Punjab na simple za pink plus black vest, wakiwa njiani kuelekea Dodoma. Walipiga pause na kupiga mapicha kadhaa kadhaa kama kawaida ya Wema siku hizi amekuwa InstaHolic, and kuhusu kutupia kibendera pale mbele nini..nice thing
.

CHANZO: Bongo movie

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...