![]() |
Mwendesha bodaboda akiwa amechukua abiria pamoja na mizigo kupita uwezo wa pikipiki yake, hali hiyo inaelezwa kuwa ni moja ya sababu zinazochangia ajali nyingi za bodaboda ambazo zinasababisha vifo na majeruhi wengi nchini.
PICHA: IPP MEDIA
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment