Thursday, 20 June 2013

AROBAINI YA MTOTO WA MZEE YUSUF NA LAILA RASHID

Mfalme Mzee Yussuf akiwa na Mkewe Malkia Leila Rashid na Mtoto wao Kipenzi siku ya Arobaini yake hivi karibuni.

Malkia Leila Rashid akiwa na Mtoto wake siku ya Arobaini.

Malkia Leila Rashid akiwa na Mashostito wake kutoka kushoto ni Gea Habib, Hawa Hassan na Zeenat Singh wakishoo love kwa Mtoto.

Malkia Leila akitunzwa mijihela na Mwimbaji mwenzie bibie Mwasiti wa Jahazi Modern Taarab

CHANZO: Wanawake tunaweza