Sunday 2 June 2013

BLOGGER SHAMIM ZEZE WA 8020 FASHION AFUNGA NDOA NA ABDUL


Kutoka kushoto: Mwanamitindo Asia Idarous, Shamim, Abdul na Bwana Khamsin(mume wa Asia)

Kutoka kushoto:Abdul, Shamim na Othman Michuzi





Jide na Machozi band walikuwepo katika kutoa burudani


Sherehe ya arusi kati ya Shamim na Abdul ilifanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City.Rainbow-tz blog inawatakia kila la heri katika maisha yao ya ndoa.

CHANZO: Mtaa kwa mtaa

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...