![]() |
| Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja |
![]() |
![]() |
![]() |
| Afanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha nchini Comoro. |
![]() |
| Msanii Diamond Platnumz akiwa nchini comoro akibarizi mandhari ya nchini humo. |






No comments:
Post a Comment