Monday 3 June 2013

MAREHEMU ALBERT MANGWEA AAGWA NCHINI AFRIKA KUSINI



 Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho. Shughuli hiyo imeongozwa na msanii Bushoke pamoja na Kinjeketile Mwiru.
Baadhi ya watanzania waishio Afrika Kusini wakitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Albert Mangwea
Msanii Bushoke akiwa na moja wapo wa wadu nchini Afrika Kusini wakati wa shughuli ya kumuaga mpendwa wetu Albert Mangwea

Wadau wa Sauzi wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii wa kizazi kipya aliyefariki majuzi marehemu  Albert  Mangwear jioni hii huko  Johannesburg, Afrika Kusini. Ratiba zinaonesha mwili huo utawasili kesho jijini Dar es salaam. 

Mwili wa Albert Mangwea unatarajia kuwasili kesho

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...