Unajua jinsi ya kutunza Bougainvillea?Fuata haya yafuatayo:
- Bougainvillea inatakiwa kupandwa katika sehemu yenye jua na si kivulini.
- Bougainvillea inatakiwa kumwagiliwa maji ya kutosha ila si ya kuzidi kiasi.
- Weka mbolea wakati wa upandaji wa bougainvillea na muda wote(inapohitajika) ambao utakuwa na bougainvillea.
- Punguza matawi ya Bougainvillea pale inapoacha kutoa maua,hii itafanya Bougainvillea yako kuchipua na kutoa maua zaidi
No comments:
Post a Comment