PONGEZI KWA SERIKALI YA ZANZIBAR:HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA BANDARI YA ZANZIBAR
Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa umakini picha hizi kwa ghafla unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa juu utagundua ndio kisiwani zanzibar...Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana ukilinganisha na Bandari ya zamaniilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu kingine,ukifika bandarini hapo unaweza ukasahaukama upo kisiwani hapo...!Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni mfano wa kuigwa kokote pale kwahatua waliyopiga....Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani zanzibar....!! Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!! PONGEZI KUBWA KWA ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment