

Familia hii ya kwanza walitembelea makazi ya Nelson Mandela mjini Johanesburg

PICHANI: Michelle akiwa na Mandela ambaye alikuwa ameshikilia kitabu chake kipya kiitwacho,Nelson Mandela By Himself

PICHANI: Michelle na binti zake Malia na Sasha wakiwa na Mzee Mandela nyumbani kwake Johanesburg

Michelle Obama akiwa na mke wa Mandela,Graca Machel

Michelle akiwa na mmoja kati ya wake wa rais Jacob Zuma wa Afrika ya kusini
No comments:
Post a Comment