Saturday 29 June 2013

ZIARA YA OBAMA AFRIKA YA KUSINI KATIKA PICHA



Rais Obama kushoto na Michelle kulia wakikaribishwa na Jacob Zuma na mkewe Tobeka latika jumba la Umoja,Pretoria



Rais  Barack Obama na mkewe  Michelle Obama,kushoto, akipunga.Wa pili kulia ni rais wa Afrika ya kusini  Jacob Zuma, na mkewe Tobeka Madiba Zuma, kulia, katika ngazi za jengo la Umoja lililopo Pretoria, Afrika ya kusini,Jumamosi juni 29.


Rais Obama akiwa na mwenyeji wake rais Jacob Zuma

Rais Obama akiwa katika mkutano (town hall meeting)  mjini Soweto ambapo aliongea na young African leaders katika chuo kikuu cha Johannesburg

Michelle Obama akiwa kwenye mkutano wake na vijana nchini Afrika ya kisini,Jumamosi


Rais Obama akiwa na kamishna wa Umoja wa Afrika nkosazana Dlamini Zuma

Rais Obama na mkewe Michelle wakiwa na mwenyeji wao Rais Jacob Zuma na mkewe Tobeka tayari kwa chakula cha jioni kilichoandaliwa na rais Zuma kwa ajili ya heshima yao


CHANZO: daily mail Uk

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...