Monday 29 July 2013

AIRTEL TANZANIA YALA FUTARI NA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM MWISHONI MWA WIKI

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto) akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) akiwakaribisha baadhi ya wateja wao katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaamu juzi. Wateja wa Airtel Tanzania wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar se Salaam juzi.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi Communications, Bakari Machumu (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Kolaso (kulia kwake) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wake jijini Dar es Salaam juzi.
kwa picha zaidi bofya read more


Mkurugenzi wa Kampuni ya Azam, Said Salim Bakhresa (wa pili kushoto), akichukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa Airtel katika hafla iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam juzi.Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakifuturu katika hafla iiliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaamu juzi.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...