Monday 22 July 2013

DUCHESS OF CAMBRIDGE KATE MIDDLETON KUJIFUNGUA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA

THE Duchess of Cambridge's Kate Middleton yuko hospital (Lindo Wing st.Mary´s) tayari kwa kujifungua wakati wowote. Amelazwa katika hospitali ya St Mary's iliyoko London mapema leo asubuhi. 

Atajifunulia katika hospitali ambayo Prince William na mdogo wake Prince Harry walizaliwa.


Hii ndiyo hospitali ya Lindo wing st.Mary´s


CHANZO:Sky news

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...