Thursday 25 July 2013

GARI LA MAZIWA LAPATA AJALI RAIA WAMIMINIKA NA VIKOMBE KUNYWA MAZIWA

SONY DSCWakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
SONY DSCSONY DSC
Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana
SONY DSCSONY DSC
Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.
SONY DSC

Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga.
CHANZO: FULLSHANGWE


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...