Thursday 18 July 2013

KARIBUNI

Wadau wa rainbow-tz karibuni katika ulimwengu wa mapishi.Tutakuwa tunawawekea mapishi ya aina tofauti.Hapa tunaomba samahani kwani tutatumia zaidi kingereza ILA tutajitahidi katika siku zijazo kuweka na mapishi kwa kiswahili vilevile.Tunawakaribisha wale wote wanataka kushirikiana nasi katika kutuletea mapishi yao ili tuchanganye ujuzi.
KARIBUNI SANA!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...