Monday 22 July 2013

KUTANA NA MWIMBAJI RIHANNA KATIKA PICHA MBALIMBALI.JE,UNAIJUA FAMILIA YAKE?FUATILIA KUPATA MAJIBU

Jina lake halisi ni Robyn Rihanna Fenty ila jina la sanaa anajulikana kama Rihanna.
Rihanna na mama yake

Rihanna(kushoto) na mama yake Monica Fenty(kulia)





Rihanna akiwa na kaka yake aitwae Rajad

Rihanna akiwa na kaka yake aitwae Rorrey




Rihanna akiwa na baba yake,Ronald Fenty


Hapa Rihanna akiwa na Monica Fenty ambaye ni mama yake, mdogo wake wa kiume na Ronald Fenty ambaye ni baba yake


Rihana na mama yake, Monica Fenty

Rihanna akiwa na bibi yake

Highly anticipated: Rihanna discussed all aspects of her life in the huge one hour special

Rihanna akiwa na Oprah
rihanna mansion

rihanna mansion

Jumba la Rihanna lilipo Pacific Palisade 

Hii ndiyo nyumba aliyokulia Rihanna huko Barbados.Ameishi hapa mpaka akiwa na miaka 16

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...