Sunday 21 July 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFANYA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAFI WA MAZINGIRA MKOA WA DAR ES SALAAM



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mama Lishe, katika Kituo cha Mabasi cha Amani Mbagala Zakhiem, Koletha Jerome (kushoto) na Siwazuri Kimbachi, wakati alipokuwa kwenye Ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo(jumapili).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akitembelea kukagua shughuli za usafi wa mazingira katika Kituo cha Mabasi cha Amani Mbagala Zakhiem, alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo(jumapili).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Viongozi wa Kata ya Ukonga kuhusu usafi wa mitaro ya maji machafu, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo(jumapili).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Soko la vyakula la Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo(jumapili).

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...