Thursday 18 July 2013

Meya wa Jiji la Ilala Mh. Jerry Slaa afanya ziara katika masoko ya Ilala na Buguruni kukagua bei za bidhaa kipindi hiki cha mfungo wa ramadhan.

IMG_9304
 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa (kushoto) amefanya ziara katika masoko ya Buguruni na ilala kuangalia utofauti bei za bidhaa kabla na kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani na wakati wa mfungo.
Mh. Slaa amewatembelea wafanyabiashara katika masoko hayo na kujionea utofauti wa bei za bidhaa za vyakula.
CHANZO: Mo blog

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...