Monday 1 July 2013

MFALME MSWATI III WA SWAZILAND AZINDUA RASMI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA LEO JIJINI DAR


Mfalme Mswati III wa Swaziland akitoa hotuba yake wakati wa Uzinduzi Rasmi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dares Salaam(Kushoto kwa King Mswati III) ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda.
Mfalme Mswati III wa Swaziland(katikati) akiwa amesimama na Meza Kuu wakiimba Wimbo wa Taifa la Swaziland leo katika Uzinduzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam(wa pili kulia)ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda.(Picha na Lucas Mboje)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...