Tuesday 9 July 2013

MICHELLE OBAMA AANDAA KIDS´ STATE DINNER KATIKA KUPAMBANA NAKUFANIKISHA KUWA NA KIZAZI CHENYE AFYA BORA


PICHA CHINI: Kids state Dinner ya mwaka 2013


Muaandaji wa health lunch contest,Michelle Obama, akiongea katika hafla ya Kids´´ State Dinner







Rais Barack Obama nae akiongea katika hafla hiyo



'


PICHA CHINI: Kids state Dinner ya mwaka 2012

Michelle Obama akiwa  ametokelezea katika kids´ state dinner white House 





Nadhani programu kama hizi vinaweza kutoa msukumo katika kubadilisha,kuachana au kupunguza mambo yasiyotakiwa katika jamii.Hapa Michelle anatoa msukumo kwa watoto waondokane na kula  vyakula vinavyoharibu afya zao na badala yake wale vyakula vilivyotengenezwa kulinda afya zao.

 Fuatilia hapa kwa kujua mengi kuhusu mpango huu:http://www.letsmove.gov/kids-state-dinner-winners


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...