Thursday 18 July 2013

MKOA KWA MKOA: TEMEBELEA DODOMA KATIKA PICHA

Baada ya kutembelea Mwanza, Morogoro na Kigoma,mkoa kwa mkoa leo tupo mkoani Dodoma. Dodoma ndiyo mji mkuu wa Tanzania. Mji wa Dodoma ni muhimu kwani Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hukutana katika mji huu.Vilevile katika mjii huu kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni Chuo kikuu cha mtakatifu John ambacho kinamilikiwa na kanisa la Anglikana na chuo kikuu cha Dodoma,ambacho ni cha serikali.Mbali na vyuo vikuu,kuna vyuo vingine mfano Chuo cha biashara(CBE),chuo cha mipango n.k




Ofisi za bunge la Jamuhuri ya Muungano






                                                              Dodoma city centre
Kanisa kuu la Anglican-Dodoma Cathedral




Msikiti wa Muammar Ghaddafi



                                                                    New Dodoma Hotel


New Dodoma Hotel Dodoma - Hotel Interior
New Dodoma Hotel inavyoonekana ndani




Chuo kikuu cha Dodoma
Soko-Dodoma
Endele kuwa nami katika safari ya mikoa mingine katika picha.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...