Wednesday 17 July 2013

RAIS KIKWETE FUTURU NA WATOTO YATIMA IKULU

Juu na chini ni Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.



Watoto yatima walioalikwa leo na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar Es Salaam kwa futari ya pamoja wakipakua chakula tayari kwa kuanza mlo.
Juu na chini ni Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. PICHA NA IKULU


CHANZO: Vijimambo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...