Monday 8 July 2013

SHEREHE A VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI MAREKANI

Naibu Balozi muakilishi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Ramadhani Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Yassin Kapuya kutoka California ambaye ni mshauri aliyebobea wa maswala ya biashara.
Msanii Masanja mkandamizaji akisherehesha kwenye tamasha la utamaduni wa Kiswahili na sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo iliyofanyika Jumamosi Capitol Heights, Maryland.
Masanja Mkandamizaji akisalimiana na Mwaki.
Aneth Bell (kulia) mcheza ngoma za asili aliyetokea California akibadilishana mawili matatu na watanzania walifika kwenye tamasha wakitokea Atlanta Georgia.
Msanja mkandamizaji katika picha ya pamoja na mashabiki wake.
Peter Kirigiti kutoka Columbus, Ohio katika picha ya pamoja na Walter Minja kutoka California.
Msanii Shilole akipagawisha mashabiki wake.


Shilole akiwa juu ya kiti akitoa dozi kwa miondoko yake ya miduara.
Shilole akiendelea kuimba kwa hisia kali.
Watanzania waliofika kwenye tamasha la utamaduni wa Kiswahili wakibadilishana mawili matatu.
kwa picha zaidi bofya read more
































































No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...