Moja ya kitu kigumu katika kuchagua ni keki ya arusi.Wengi hupata tatizo kama wachague keki ya ngazi ngapi,mapambo yawe yepi nk..Kuna aina nyingi mno za keki za arusi,kuanzia kubwa,ndogo (mini cakes), na cupcakes.Nimejaribu kuweka baadhi ya keki za arusi katika aina zote nilizozitaja.Zinaweza kukusaidia wewe msomaji.Karibu
No comments:
Post a Comment