Saturday 31 August 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI ZA UZINDUZI WA MOVIE YA LULU IITWAYO FOOLISH AGE

DSCN3364

Elizabeth Michael “Lulu” usiku wa 30/8 ameandika historia katika maisha yake ya movie kwa kuzindua movie yake mwenyewe kwa mara ya kwanza. Lulu amekuwa akifanya vizuri kwenye movie zinazoandaliwa na kampuni nyingine, lakini yeye binafsi hii ndiyo movie ya kwanza kuwekeza pesa zake. @hotlulumichael akiongea na waandishi wa habari alisema kwamba ameshiriki sana kwenye hii hasa kusaidia ku-direct na wazo zima la Foolish Age lilitoka kwa mtu wake wa karibu sana.
Uzinduzi ulifanyika kwenye hall la Mlimani City Conference center na kuhudhuriwa na wasanii kama Steve Nyerere,Joti,JB,Ray,Batuli,Monalisa na mama yake,JB,Wastara,Wema Sepetu,Jacklyne Wolper,Nisha na wengine wengi. Movie ilionyeshwa kwa dakika 20 na ikaanza kuuzwa palepale kwenye DVD moja yenye part 1 & 2
DSCN3334Hapa Lulu alijikuta mbele ya mic nyingi za waandishi wa habari
_MG_3451
DSCN3270Kemmy kutoka Kaole Sanaa Group, mmoja kati ya wasanii waliompokea Lulu wakati anaingia kwenye sanaa

DSCN3272Davina kutoka bongomovie
DSCN3276
DSCN3280

_MG_3447
DSCN3281
DSCN3285Watu mbalimbali kwenye uzinduzi wa Foolish Age
DSCN3288Wastara Juma ndani ya red carpet
DSCN3295
DSCN3301
DSCN3302
DSCN3303Tino kwenye red carpet
DSCN3305
DSCN3306Producer Lucci “Kaka”
DSCN3307Mkali wa comedy Mboto ndani ya ukumbi
DSCN3310
DSCN3311Jacob Steven “J.B”
DSCN3318
DSCN3322
DSCN3324Lulu akiwasili na Lemousine
DSCN3326
DSCN3327
DSCN3331Lulu ndani white dress kwenye red carpet
DSCN3333
DSCN3341Ray akifanya interview
DSCN3346Jacklyne Wolper
logo NEW WITnnnnnnnnnnnnnnH SHADOW
Batuli kutoka Bongomovie
DSCN3347Caesrer Daniel na Nando
DSCN3351
DSCN3352Wema Sepetu
loADOWSteve  Nyerere alitupia wigi usiku huo
logo NEW nnnnWITH SHADOWMonalisa na mama yake
logo NEW WITH SHADWQueen Darlin
logo NEW WITHkkk SHADOWMuigizaji na muimbaji Shilole
DSCN3357
Taswira ya ukumbi
DSCN3361
Show ikifunguliwa
DSCN3364Lulu akiwasili kwenye stage kuwakaribisha wageni kuangalia movie ya Foolish Age
_MG_3378Movie ya Foolish Age ikionekana kwa mara ya kwanza
_MG_3387Hapohapo zikaanza kuuzwa
_MG_3410
Burudani ikafuatiwa Lulu mwenyewe akiiongoza
_MG_3390Meza ya Wema na marafiki zake ikaanza kuchukua attention ya camera
_MG_3392Mama Kanumba kaenda kukutana na Wema Sepetu
_MG_3394Hapo sasa Wema akaanza kumtunza noti mama Kanumba
_MG_3395Shughuli ikiendelea
_MG_3396Wema kapiga magoti anamwabia kitu mama Kanumba
_MG_3400Mzee Chilo naye kajongea kwenye meza ya Wema
_MG_3413Huku Lulu anaendelea kuburudisha na camera zikamfuata
_MG_3414
_MG_3424
_MG_3430Marafiki wa muda mrefu sana JB na Richie.
_MG_3431
_MG_3433
_MG_3436
CHANZO: Millard Ayo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...