Tuesday 27 August 2013

BREAKING NEWS: BAR YA SAMAKI SAMAKI MBEZI YATEKETEA MOTO




Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.
Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.
Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki.
(Picha: Makongoro  Oging' / GPL)


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...