
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trans Africans Logistics Limited, Robert Dewar, Raia wa Uingereza, akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, ambako jana alisomewa shtaka la uhujumu uchumi baada ya kudaiwa kukutwa na nyara za serikali zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 90.
PICHA: IPP MEDIA
No comments:
Post a Comment