Wednesday 28 August 2013

LULU AFANYA SHOPPING KWA AJILI YA FOOLISH AGE.

Elizabeth Michael
Lulu Mwigizaji wa filamu Swahilihood.
MWIGIZAJI wa filamu wa kike mwenye mvuto katika vyombo vya habari Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameanza leo hii kufanya shopping kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake ya Foolish age katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 30/ August/ 2013, Lulu alikuwa sambamba na FC katika Beauty Point maeneo ya Mayfair akinunua gauni lenye thamani kubwa.

.

Elizabeth Michael
Lulu akiwa Dukani
Elizabeth Michael
Akiingia Dukani Beauty Point
Elizabeth Michael
Lulu akiwa anafanya shopping katika duka
Elizabeth Michael
Lulu akilipa Milioni kadhaa kwa muuzaji.
Elizabeth Michael
Hot Lulu akiwa na nguo zake zinazogharimu kama dola nyingi.






























































































Nimekuja hapa kwa ajili ya kununua nguo kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yangu ya Foolish Age Mlimani City, nataka kuandika historia katika tasnia ya filamu Tanzania Nimejipanga kufanya mambo makubwa na ujio mpya wa Lulu akiwa katika maisha mapya nimekuja kuwaelimisha watanzania na jamii nzima kwa ujumla,”anasema.
Uzinduzi wa filamu ya Foolish Age utasindikizwa na burudani ya muziki kutoka kwa Lady Jay D na bendi yake ya Machozi, Barnaba, Amina na wasanii wengine pia kutakuwa Red Carpet kwa wageni na wasanii watakaohudhuria katika uzinduzi huo kiingilio ni 30,000 tu kwa mtu mmoja na meza itauzwa kwa Tshs. 300,000 wahi tiketi yako mapema.
1:ROBBY ONE FASHION(KINONDONI) 2:SHEAR ILLUSONS(MLIMANI CITY) 3:LEADERS CLUB(KINONDONI) 4:TCC CLUB(CHANG’OMBE) 5:BIG RESPECT(KARIOKOO) 6:ZIZZOU FASHION(SINZA & VICTORIA) 7:NYUMBANI LOUNGE.
CHANZO: Filamu central

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...