ALIYEKUWA mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Patrick Rweyongeza, na aliyeuawa na majambazi juzi Jumatano maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam akitokea Benki ya NBC Ubungo na kuporwa shilingi milioni tano , anategemewa kusafirishwa kesho kwenda kijiji cha Lunguya, Tabora vijijini kwa mazishi.
PICHA NA MAKONGORO OGING'/ GPL
No comments:
Post a Comment