Wednesday, 14 August 2013
NIMEIPENDA HII:AINA ZA VITAMBI TANZANIA
1. Kitambi mvurugo: Hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi mchuchumio: Hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.
3. Kitambi mbonyeo: Akivua shati kitambi hiki hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha.
4. Kitambi mtepeto: Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. Kinasababishwa na kula mno viporo.
5. Kitambi mfumanio: Hiki mtu anakuwa hana pesa ila anakuwa na kitambi. Kitambi hiki kinasababishwa na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.
6. Kitambi mtunguo: Hiki wanacho sana akina dada. Kina umbo la yai. Hiki kwa diet hakitoki labda kwa maombi tu.
7. Kitambi mchongoko: Kimekaa kama namba 4.
Kinasababishwa na viroba,banana na jamii yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment