PENDA NYUMBA YAKO: RAFU (SHELVES) ZA KISASA KWAAJILI YA TV YAKO!
Watu tuna uchaguzi tofauti.Wengine hupendelea kuweka TV zao kwenye rafu (shelves) na wengine kwenye kabati za TV. Leo ninawawekea baadhi ya aina za rafu na kesho nitawawekea kabati za TV za aina mbalimbali.Mtu unafuata vile roho yako inapenda mdau!
No comments:
Post a Comment