Monday 19 August 2013

PENDEZESHA NYUMBA KWA WALK IN CLOSETS/WARDROBE

Ni muhimu unapomiliki nyumba ujenge sehemu za kuhifadhi nguo,viatu,masanduku n.k.Sehemu hii huwa kama chumba na ukubwa wake utategemea ukubwa wa nyumba yako.Hii itaongeza umaridadi wa nyumba kwa kupunguza mrundikano wa samani.Vilevile itasaidia kuwa na mpangilio mzuri wa vitu kuliko katika makabati ya nguo.
Tembelea picha hapa chini kuona aina mbalimbali za makabati(vyumba) ya kuhifadhi nguo.
walk in wardrobe

walk in wardrobe

walk in wardrobe

walk in wardrobe



walkin wardrobe design





Hata kama chumba ni kidogo unaweza kujenga walk in closet ambayo ni ndogo na ikapendeza villevile


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...