Kama mtu unaumwa na kupelekwa hospitali na kulazwa katika mazingira kama haya kuna kupona kweli?Hapa si kuna hatari kubwa ya kupata maradhi mengine?Nimesikitishwa sana na picha hizi.Nadhani hospitali za wilaya yaani Temeke,Mwananyamala na Ilala zingepanuliwa na kuwa na vumba vya upasuaji na vifaa vya uchunguzi vya kisasa ili nazo zipokee wagonjwa wote.Hii itapunguza adha ya kila mgonjwa kukimbilia Muhimbili na kuishia kulala chini kama hivi.Na uhakika kuwa hili linawezekana.
CHANZO: JF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment