Waziri mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra akiwapungia mkono kuwaaga baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam na viongozi wa Serikali wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania.Rais Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Waziri mkuu wa Thailand Bi.Yingluck Shinawatra katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Mwenyekiti wa CCM wa Dar es salaam Ndugu Madabida Masaburi wakati wa kuondoka kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki wakati wa kuondoka kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadick wakati wa kuondoka kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra wakati wa kuondoka kurejea nyumbani kwa mgeni wake huyo baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra wakati wa kuondoka kurejea nyumbani kwa mgeni wake huyo baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013. SRais jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wa Serikali wakipunga mikono wakati ndege ya waziri Mkuu wa Thailand ikiondoka kwenye uwanja wa ndege wa (JNIA)Wasanii wakishangilia wakati ndege iliyomchukua Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinwatra ikipaa wakati wa kuondoka kurejea nyumbani kwa mgeni huyo baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini leo Agosti 1, 2013
No comments:
Post a Comment