Friday, 13 September 2013

DARASA LA KISWAHILI: NAHAU NA MISEMO YA KISWAHILI

Katika kukienzi kiswahili,tukumbushane nahau, methali na misemo ya kiswahili kwa wale wanajua.Tutakuwa tunaelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo lugha yetu ya kiswahili.

  1. Chombo cha kuzama hakina usukani.
  2. Asiye kubali kushindwa si mshindani
  3. Cha mlevi huliwa na mgema
  4. Asifuye mvuwa imemnyea.
  5. Kitanda usicho kilala hujui kunguni wake
  6. Mwomba chumvi huombea chunguche
  7. Mwenye kuchinja hachelei kuchuna
  8. Ukuukuu wa kamba si upya wa ukambaa
  9. Udugu wa nazi hukutania chunguni
  10. Mtoto umleyavyo ndivyo akuavyo
  11. ........................
  12. ..........................
  13. ...............................
  • Je,unaweza kuandika maana ya methali hizi?
  • Unaweza kuendeleza methali nyingine?
KARIBU TUELIMISHANE KWA KUTUMA MAONI YAKO!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...