Friday 20 September 2013

DIMPOZ AKIPOZI MBELE YA JENGO LA VOICE OF AMERICA



POZ KWA POZ AMEPOZ KABLA YA INTERVIEW

MTANGAZAJI MASHUHULI SUNDAY SHOMARI  AKIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO

  POZ KWA POZI AKIJIBU MASWALI YENYE UTATA KUTOKA KWA SUNDAY SHOMARY
Picha zaidi bonyeza READ MORE



                           LARY KING WA VOA NAYE ALIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO
                                  BABU ALIKUWA ANAULIZA MASWALI YA KUFURAHISHA TU !

       PROMOTER/MANAGER WA DIMPOZ USA TOUR  BWANA "DMK" MWENYE TSHIRT NYEKUNDU AKIFURAHIA JAMBO PAMOJA NA SUNDAY SHOMARY NA DIMPOZ
POZ KWA POZ NDANI YA MITAA YA WASHINGTON DC AKIWA AMECHILL MBELE YA GARI LA PROMOTER/ USA TOUR MANAGER WAKE BWANA DMK


DIMPOZ NA DMK WAKIWA BUSY KWENYE TEXT WAKIPOKEA REQUEST NYINGI ZA TICKET ZA SHOW
CHANZO: SWAHILI TV

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...