Kundi la majambazi waliokuwa na silaha za moto wakiwa na magari mawili Landcruiser na Noah wamevamia kampuni inayojishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa fenicha ya Diab Furniture Manufacturing Company iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam. Majambazi hayo baada ya kuvamia eneo hilo yalifanikiwa kupora sefu iliyokuwa na fedha pamoja na kuwajeruhi mmoja wa viongozi wa kampuni hiyo na mlinzi. (Picha / Habari: Haruni Sanchawa / GPL)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...

-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment