Saturday 14 September 2013

MLO WANGU MCHANA WA LEO,VIAZI VYA KUOKA, KUKU WA KUCHOMA NA SALADI




Huu ndiyo mlo wangu wa leo,ni rahisi kutengeneza kwani hauhitaji uangalizi sana.Na hivi ndivyo nilivyotengeneza:
VIAZI:Viazi vimekatwa katika duara na kuwekwa siagi kidogo pamoja na chumvi  halafu kuwekwa katika chombo cha kuchomea ndani ya oven.
KUKU: Kuku amewekwa tangawizi, kitunguu saumu, tandoori masala, chumvi kidogo na limao na kuchomwa katika oven.
SALADI: Imetengenezwa kwa roman sallad(majani),nyanya, tango na saziki(hiyo krim nyeupe inayoonekana).
Pembeni niliweka thai sweet chilli sauce(hiyo nyekundu inayoonekana)
KARIBUNI


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...