Wednesday 25 September 2013

MTANZANIA ALIYEJERUHIWA WESTGATE APATA NAFUU

Mtanzania Vedasto Nsanzugwanko akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan mjini Nairobi, Kenya.
MTANZANIA, Vedastus Nsanzugwako ambaye alijeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika jengo la biashara la Westgate, Nairobi, Kenya ameanza mazoezi ya kutembea baada ya kupata nafuu.
Mtanzania huyo ambaye ni Meneja wa Kinga ya Watoto kwenye Shirika la Maendeleo ya Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef), anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Agha Khan, Nairobi alikolazwa baada ya kujeruhiwa katika shambulizi hilo Jumamosi iliyopita.
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...