Thursday 19 September 2013

MUIGIZAJI NYOTA WA FILAMU KUTOKA NCHINI NIGERIA VAN VICKER AKISHUTI MUVI

Pichani kulia ni Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania,TAFF akiwa sambamba na baadhi ya Waigizaji wa filamu hapa nchini,Irene na mdau sambamba na Muigizaji mahiri wa filamu kutoka nchini Nigeria,Van Vicker wakijiandaa kushut muvi yao mpya,ambayo bado jina lake halijawekwa hadharani,wakiwa kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar leo(jana) mchana.
Pichani ni Mzee Hasheem Kambi akiwa na kimwana Irene wakiwa lokesheni wakiigiza kwenye moja ya filamu yao mpya ambayo hawakuitaja jina,huku mkali wa kuigiza kutoka nchini Nigeria,Van Vicker akiwa lokesheni wakiigiza kama walivyonaswa  mapema leo(jana) mchana kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar leo mchana.
Pichani ni Mwanadada Irene ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye anga ya Bongo Muvi,hapa alikuwa kwenye lokesheni,akiigiza kwenye moja ya filamu yao mpya na Muigizaji mahiri kutoka nchini Nigeria a.k.a Nollywood aitwaye Van Vicker,kama walivyonaswa  mapema mchana leo(jana) kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar.
CHANZO:Mdodosaji

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...