![mgeni](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/09/mgeni.jpg)
Akiongea katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds Fm mkurugenzi mwenza wa Zanzibar Njema Modern Taarab Ally Ngereja amesema msiba uko Amani Fresh, Zanzibar ambapo ni kwa baba yake na atazikwa leo (September 17) saa kumi jioni.
Marehemu aliwahi kutamba na nyimbo nyingi ikiwemo sitetereki inayofanya vizuri mpaka sasa.
CHAZO: Bongo5
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi,amina
No comments:
Post a Comment