Albamu yake ya I LOOK TO YOU aliitoa baada ya vita vyake vya muda mrefu kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya.Whitney alionyesha kuwa bado na uwezo mkubwa.
Whitney Elizabeth Houston maarufu kama ``the voice`` alizaliwa tarehe 9 augusti 1963, huko Newark, New Jersey, USA. Whitney aliolewa na Bobby Brown na wakabahatika kupata mtoto wa kike aitwae Bobbi Kristina Houston Brown.Mwimbaji hyu alianza kuimba akiwa mdogo.Whitney anafahamika kwa vibao vyake vingi vikali.
UNAJUA ALBAMU ZA WHITNEY?
Baadhi ya albamu zake ni Whitney Houston (1985), Whitney (1987), I´m your baby tonight(1990), My love is your love (1998), Whitney-The Greatest (2000),Love, Whitney (2001), Just Whitney (2002),One wish-The holiday album (2003), I look to you (2009)
UNAJUA KAMA WHITNEY ALIKUWA MCHEZAJI SINEMA?

Mbali na kuimba Whitney alicheza sinema zifuatazo: The Bodyguard (1992), Waiting to Exhale (1995), The Preacher's Wife (1996), Sparkle (2012).
Whitney Houston alifariki tarehe 11 februari 2012 huko Beverly Hills, Kalifonia, USA.
Whitney,1985
Kwa kuona picha zaidi za Whitney ``the voice`` bonyeza READ MORE
Whitney Houston,2009 |
Whitney akiwa na binti yake,Bobbi Kristina Whitney akiwa na Nelson Mandela Whitney,(wa tatu kushoto)akiwa na familia yao Whitney akiwa na mama ya ke Cissy Whitney akiwa na aliyekuwa mumewe,Bobby Brown Whitney akiwa na Jmwimbaji ordin Sparks katika movie yake ya mwisho,``Sparkle`` |
No comments:
Post a Comment