Monday 30 September 2013

NBC YATENGA SIKU MAALUMU KUWASHUKURU WATEJA WAO

01
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la MnaziMmoja, Judith Motta (kulia) akitoa maelezo ya huduma mbalimbali za kibenki katika tawi lake kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo, ….. katika ‘Siku maalumu ya kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo, kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia  kujibiwa maswali
yao.

03
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la MnaziMmoja, Jacqueline, Shija kulia) akuhudumia baadhi ya wateja waliofika kupata huduma mbalimbali za kibenki katika tawi hilo  katika ‘Siku maalumu ya kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo, kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia  kujibiwa maswali yao.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...