Friday 20 September 2013

NEWS ALERT;HATIMAYE MANGULI KATIKA WIZI WA MTANDAO WAKAMATWA KATIKA OFISI ZA TIGO BUGURUNI



mrembo huyu ni mmoja wa watuhumiwa wa kesi hii ya wizi wa mtandao baada ya kutumia kitambulisho chake na  kutaka kuja kurudisha line ambaye sio yake kwa kuahidiwa kupewa pesa kidogo kama ujira wake na katika melezo yake akasema hawatambui wahusika wenzake kwani amekutana nao tu sinza na wakampa dili hilo na kuamua kuchukua bajaji ambao iliwaleta mpaka ofisi za tigo buguruni rozana 

huyu ndio staring mwenyewe aliyechonga mchongo wote na kumshawishi huyu mwanamke kutumia jkitambuluisho chake kufanyia wizi huo wa kimtandao

mrembo akijitetea kuwa hahusiki kabisa katika wizi huu na pia kujitetea kuwa kaacha mtoto mdogo nyumbani 

hapa akitoa maelezo kuwa yeye si mwizi  na hwafahamu kabisa wahusika wenzaqke na yeye ni mfanyabiashara wa vipodozi

watuhumiwa wenzake wakificha sura zao huku wakitoa maelezo kwa wafanyakazi wa tigo na walinzi waliowatia chini ya ulinzi baaada ya kuweka mtego mzuri wa kuyanasa mataperli haya ya kimtandao 

hiki ndio kitambulisho alichoktaka kutumia huyu mwanamke kuswap line ambayo sio yake lakini aliweka jina la mhusika wa line na namba alizokuwa anapiga maranyingi lainmi sura yake bahati mbaya kwa umakini wa mfanyakaiz mmoja wa tigo kwa jina octavian rweyendera alifanikiwa kubaini udanganyifu huo na kuamuru awekwe chini ya ulinzi  mara moja
aliyesimama hapo yeye aliibiwa kiasi cha milioni moja kwa njia ya sim banking ya NMB baada ya line kuharibika ghafla kumbe mmoja wa watuhumiwa alirenew na kuiba pesa 

hiki pia ni kitambulisho  cha mteja huyo hapo juu  aliyeibiwa pesa kwenye acount yake ya NMB kiasi cha milioni moja kwa njia ya sim banking baada ya mmoja wa hawa watuhumiwa  kuja kurudisha yake  hii kwa kutumia kitambulisho hiki ambacho kimetengenezwa kwani si halisi na hatimaye kufanikiwa kuiba pesa kwa sim banking baadae 
hapa mtuhumiiwa mmoja akiwan kajilaza chini kwa kugoma kutoa maelezo kwa walinzi waliowaweka chini ya ulinzi 

hapa huyu binti akilia  kwa uchungu na kuomba asamehewe

wakiwa ndani ya gari ya polisi kuelekea kituo cha polisi buguruni

mmoja ya wafanyakazi mahiri wa tigo bw octavian rweyendera ambaye alifanikisha kukamatwa kwa watuhum,iwa hao akitoa maelezo kwa baadhi ya maafande wa polisi jinsi wathumiwa walivyotaka kufanya wizi huo wa kimtandao 





Askari polisi wakisikiliza kwa makini jinsi watuhumiwa hao walivyokamatwa

CHANZO: MWAHARAKATI MZALENDO

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...